NAMNA YA KUFANYA BAADA KUMALIZA SEX

๐Ÿ‡๐Ÿ‡sote wajua kama baada ya kumaliza sex twawaje wengine wanachoka hoi wengine huishia kukoroma kama waburuza maza ila sisi kama wanawake tumejiasahu Sana'a na kujiachia mno tubadilike jamani ungana nami nikujuze cha kufanya.....

๐Ÿ‡๐Ÿ‡kwenye mada zangu zilizopita nilijaribu kugusia chupa ya chai nimuhimu mwanamke kuwa na chupa ya chain zaidi ya moja hii ni kwa ajili ya kuhifadhia maji ya moto na chupa hii haitoki chumbani kwako Iliwa na mji ya moto kila wakati....

๐Ÿ‡๐Ÿ‡Sote twajua mwanamke aliye kamilika hakosi leso kwenye Pochi yake basi kadhalika chumbani kwakwe ....

๐Ÿ‡๐Ÿ‡Mwanamke ni lazima uwe na leso NNE nyeupe ndiyo nyeupe maana ni rahisi kujua ama kuona uchafu...

๐Ÿ‡๐Ÿ‡Mbili zikiwa za mumeo na mbili zikiwa zako usafi ni jambo la kuzingatia kwenye hili maana ni afya yenu

๐Ÿ‡๐Ÿ‡๐Ÿ‡Baada ya kumaliza tendo kama round ya kwanza MPE pole mumeo na asantee kwa kukuridhishaa ikiwezekana mpige busu la kumshukuru kuitenda kazi yake vyema kisha chukuwa leso moja ibane kwenye mapaja yako ili manii yasimwagikie kwenye shuka ....chukua leso ya pili itose kwenye maji ya vugurug uliyo andaa (Yale ya kwenye chupa unapooza kidogo) kamua kisha mfute hubby wako huku ukimpa pole kama wamshua kidondaa jamani lazima muwe waangalifu mboo ikitoka kutomba yauma so unatakiwa umfute kwa utarafibu kila kaona unaanza kwa kuminya chini kuja juu ili kama kuna manii yaliyo baki yasirudi ndani maana Yale yakirudi wataalamu husema yanaweza kuleta madhara na uminyaji wako use mdogomfo usije muumiza Mwana WA watu huku ukimwambia pole hubby wangu asante kwa penzi lako wajua wew ndo doctor wangu love you ...NK...

๐Ÿ‡๐Ÿ‡Utajifuta na ww kwa jili ya muendelezo WA round ya PILI jamani leso hizi ni muhimu siyo mmemaliza mambo yenu mnaulizana mtafuta na nini Mara umechukuwa nguo ya mtoto unafutia au Mume kashika kanga yako unamwambia achaa hiyo ni safi ngoja nikuletee nguo chafu jamaaniii tujirekebishe nguo chafu ukafutie uchi wako hujithamini wewe hizo leso ni miatano ama elfu tu na sito kama watumia kisha ukatupa wafuwa na kupiga pasi kwa ajili ya afya zenu

๐Ÿ‡๐Ÿ‡Unamkuta dada kamaliza tendo shuka yote imelewa kama kazaa jamani hii siyo unaweze kwenda ugenini ukapata aibu ndo hamu zimewashika mmefanya kesho yake shuka inaramani ya dunia ni aibu ila usijali Mama R2 nakupenda nitakujulisha aibu hii isiendelee...

๐Ÿ‡๐Ÿ‡Ukiona Mume ndoanafika kileleni anataka kumwaga bana kuma ya na kuma yabanwa hivi...vutapunzi ndani kama wawainginza tumbo ndani kisha Fanya kama unazuia mkojo hapo ndo kubana kuma japo IPO aina nyingi nitawaelekeza kwenye mada ijayo..ukishabana K..atakuwa anasikia rahaa ya ajabu akimaliza na akiwa anataka kutoka pandisha mguu WA kulia kwenye mguu WA kushoto ndo uweke leso yako waweza kufanyaa hiyo uliwa umekaa staily yeyote ile na manii hayatoweZa kudondoka kwenye shuka.....

๐Ÿ‡๐Ÿ‡ Siku zote mwanaume akimwaga hatakiwi kuinuka mapema atulie pale pale mpk yatoke manii yote na yakisha toka ashuke kama anaelala upande wa kulia๐Ÿ‡๐Ÿ‡ Hivyo itasaidia kutobaki manii ktk mboo na kutorudi ndani, coz yakirudi ndani husababisha matatizo ya figo hasa mawe ktk figo

๐Ÿ‡๐Ÿ‡Na vile vitambaa vingine utatumia kwa round ya PILI kama ulivyofanya mwanzo

๐Ÿ‡๐Ÿ‡Pia ningependa kuwajulisha kina mama miye ni binadamu siyajui yote ila sichoki kujifunza kila siku wala sichukii kukoselewa ili nipate faida zaidi naamini umeweza kujifunza mojawapo kutoka kwangu pia mnaweza mkiamu na kuzidumisha ndoa zetu nawapendaa sanaaa

๐Ÿ‡.MKE MWENYE MAHABA HUSIMAMA NA MUMEWE KWA SHIDA NA RAHA

Mke mwenye mahabba hawi mwema wakati wa neema tu, bali pia husimama na mumewe na kumuunga mkono mumewe wakati wa shida na nyakati ngumu. Wakati wanawake wengine huwatupa mkono wenza wao wakati wa matatizo, mke mwenye mahabba husimama imara na mumewe katika nyakati nzito; anakuwa mke mwema na mwenye mahabba katika shida na raha.

โฃ๏ธ๐Ÿ’•โฃ๏ธ๐Ÿ’•โฃ๏ธ๐Ÿ’•โฃ๏ธ๐Ÿ’•โฃ๏ธ๐Ÿ’•โฃ๏ธ๐Ÿ’•โฃ๏ธ๐Ÿ’•โฃ๏ธ๐Ÿ’•penzi lilo kamilifu ni kama kipozeo cha ubora na ubaora wa mtu ni hazina isio filisika na ukiona Mtu anapenda mtu kwa muonekano ujue huyo hadumu mana penzi linalo dumu kwa hatua ndilo lisilo fifiaโฃ๏ธ๐Ÿ’•โฃ๏ธ๐Ÿ’•โฃ๏ธ๐Ÿ’•โฃ๏ธ๐Ÿ’•โฃ๏ธ๐Ÿ’•โฃ๏ธ๐Ÿ’•โฃ๏ธ๐Ÿ’•โฃ๏ธ๐Ÿ’•โฃ๏ธ๐Ÿ’•

*๐Ÿ‡KWENU WANANDOA๐Ÿ‡*

*๐Ÿ‡MAMBO 3 UNAYOTAKIWA KUYAACHA KAMA UNATAKA NDOA YAKO IDUMU๐Ÿ‡*

๐Ÿ‡Hakuna ndoa yenye ukamilifu na isiyokuwa na changamoto. Wakati fulani yataibuka mambo kadhaa wa kadhaa, kwa sababu sisi ni binadamu. Hata hivyo, haimaanishi kuwa hatuwezi kufanya juhudi za kuwa na ndoa nzuri. Tunawezaje kuwa na ndoa nzuri? โคต๏ธ

๐Ÿ‡๐Ÿ—ฏTunaweza kuwa na ndoa nzuri kwa kuepuka kufanya vitu vinavyoifanya isiwe nzuri.๐Ÿ—ฏ

Hapa, nimeweka mambo matatu, yafanyie kazi:

*๐Ÿ‡1. KUSHINDWA KUKUBALI KOSA๐Ÿ‡*

Kama wewe sio aina ya watu wanaokubali makosa pindi wanapokosea, basi ndoa yako itakumbwa na majaribu kayaya. Kusema โ€œSAMAHANIโ€ hakukufanyi kuwa dhaifu, bali hukufanya uonekane kuwa una ukomavu na uwajibikaji mkubwa wa kukubali kuwa umekosea na kwamba una utayari wa kurekebisha kosa husika. Mwenza wako anapolijua hilo, atakuwa tayari kukusamehe na kukupa nafasi nyingine, madamu samahani hiyo inatoka moyoni na ni ya ukweli.

*๐Ÿ‡2. KUMLINGANISHA MWENZA WAKO WA SASA NA YULE WA ZAMANI๐Ÿ‡*

Wakati fulani mtu hulifanya hili anapokuwa hafurahishwi na jambo lililofanywa na mwenza wake, lakini bado sio sahihi kufanya hivyo. Hutakiwi kumlinganisha mwenza wako na mpenzi wako wa zamani kwa hali yoyote ile. Huyo wa zamani ashakuwa wa zamani, anabaki kuwa ZILIPENDWA. Mwenza wako ni mwanadamu, hivyo anaweza kuhisi kuwa kwa kiasi fulani bado una mafungamano na mpenzi wako wa zamani pale unapoendelea kumzungumzia katika hali na mazingira hayo. Pia inaweza kumfanya ahisi kuwa hathaminiwi vya kutosha, hivyo usithubutu kufanya hivyo.

*๐Ÿ‡3. USIJARIBU KUBADILISHA SILIKA YA MWENZA WAKO๐Ÿ‡*

Kama unaingia kwenye uhusiano na mtu, jiandae kikamilifu. Mwanamke na mwanaume wanazo sifa za kiasili kabisa ambazo zinawatofautisha. Ni kama kusema mwanaume anatokea sayari ya Mars na mwanamke anatokea sayari ya Venus, hivyo ni viumbe wawili tofauti. Kama sifa za mwenza wako hazikuathiri moja kwa moja, usijaribu kuzibadilisha. Kujaribu kumbadilisha italeta picha kwamba humthamini vya kutosha, na unataka kumfanya awe mtu mwingine. Ila kama tabia zake zinampelekea kumuasi Allah, hapa itakuwa hakuna budi kumbadilisha tabia hizo kwa nasaa na njia tofauti tofauti.


*๐Ÿ‡EWE MOLA! ZIJAALIE NDOA ZETU ZIWE NA UCHAMUNGU NA UJIZAJE NA KILA LA KHERI NA BARAKA, NA UTUPE SUBRA YA KHALI YA JUU KATIKA IBADAH HII๐Ÿ‡*

NDOA NI KAMA YAI

Hongera nawapatia, bwana na bibi harusi
Kwa kufunga yenu ndoa, nawalaki kwa kikosi
Msojua mtajua, msende mwendo wa kasi
Hino ndoa kama yai, chungeni isivundike

Nawatakia salama, yenu yawe ni ya kheri
Muishi maisha mema, msikutwe nayo shari
Mzae watoto wema, wenye kumcha Qahari
Hino ndoa kama yai, chungeni isivundike

Indhari tukueni, muihifadhi moyoni
Yanayojiri nyumbani, ni siri yenu ya ndani
Yasipekwe kawandani kuwatia izarani
Hino ndoa kama yai, chungeni isivundike

Pamoja mshikaneni, na wala msiatane
Mazuri ambianeni, na mabaya mkanyane
Vicheko pia chekeni, maliwazo mpeane
Hino ndoa kama yai, chungeni isivundike

Kamba kwa shime vuteni, karipieni uvivu
Umoja udumisheni, ndipo mtapata nguvu
Maisha ulimwenguni, yahitaji ushupavu
Hino ndoa kama yai, chungeni isivundike

Matatizo kutokea, silo jambo la ajabu
Hayo yatawafikia, ingawa si matulubu
Kuelewana ndo ndia, ya kuimaliza tabu
Hino ndoa kama yai, chungeni isivundike

Vidudu watu wa tele, waipendayo zahama
Kwenu watapija lele, kuanzisha hiyo ngoma
Ikishazuka kelele, haraka watayoyoma
Hino ndoa kama yai, chungeni isivundike

Yao msiyasikize, hiyo ni yao ibada
Na wala msiyawaze, kwani hayana faida
Wacha waipige zeze, mwisho watakosa rada
Hino ndoa kama yai, chungeni isivundike

Kwa Mola elekeeni, ibada muidumishe
Radhi yake iyombeni, mema kwenu afikishe
Awaingize peponi, na moto awaepushe
Hino ndoa kama yai, chungeni isivundike

About

Mafunzo Ya Ndoa (Ushauri, Urembo, Mapishi, Maradhi Na Tiba)

JIPATIE ELIMU KWA UTARATIBU MZURI KUHUSU KUFIKISHANA CLIMAX, CHANGA MOTO ZA MAHUSIANO N.K ELIMU HII TUNAITOA KWA WANANDOA NA WANAO TARAJIA KUOANA.

#ONYO
Elimu Utakayo Ipata Humu Itumie Kujenga Ndoa Yako Sio Kufanya Zinaa.

ADMIN @Akili255


@HalalSexEducation

Install Palscity app