3 yrs - Translate

1.Between bae na pesa gani imekuekeaa sociol distance?
Ama bora uhai๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2.Signs and symptoms of an ending relationship *๐Ÿ’”naona Kuna mchezo mahali๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
3.Wakale wanadate wakale wenzao ndio wasiongee kiingereza๐Ÿคฅ๐Ÿ’”๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
4.She's not yours until she starts sending you pics she doesn't post๐Ÿฅฑ
5.Huwa nanyorosha usingizi ni kama Niko na millions kwa bank๐Ÿ’ธ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
6.Mathematics is fake......how can 1000 people multiply by 0 *be zero* ๐Ÿค”hao watu elfu moja wameenda wapi๐Ÿ˜‘๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿค”
7.Sikumuacha kwa ubaya... lkn hata kama ni wewe *unaeza date dem mwenye anaendesha baiskeli akiwa amekalia kitu ya nyuma?*๐Ÿ˜๐Ÿค”๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
8.Unamuita *"my jaber"* alafu msee mwingine anakuja anamtafuna kama *jaba* na hastruggle kama wewe kumuomba๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
9.Siku watu wakiachwa wanaazanga kujifanya wanapendanga songs za juice world๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
10.Digital witchcraft is when you see your tenant who owes you rent, *walking out of a restaurant with your daughter๐Ÿคญ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฆ๐Ÿปโ€โ™‚๏ธ
11.Aki si kukuwa mtoto Ni gharama ๐Ÿ˜’unalia hata maybe tumbo inakuuma ๐Ÿ˜…unapewa uchi jack mzima umalize๐Ÿ˜…juu unalilia ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Install Palscity app