habari wapendwa lipo shamba ambalo bado halijaendelezwa ni heka mia nne tunauza kila heka elfu 30 shilingi ya tanzania shamba linapatikana Tanzania mkoa wa singida wilaya ya Manyoni shamba linafaa kwa mazao ya matunda maembe parachichi korosho na pia linafaa kwa mazao kama yafuatavyo ufuta ulezi mtama njugu. karanga mihogo ya viazi vitamu mahindi na maharage alizeti kunde na hata ufugaji pia hata makazi yanafaa hivyo kwa anae hitaji anaweza kuwasiliana kwa namba hii 0657774314 pia kwa WhatsApp 0782978421 nawakaribisha wote kwa kuu uzito mkubwa katika kufuata sheria zilizowekwa na serikali ya jamuhuri ya muungano tz.
Pareto Classic
टिप्पणी हटाएं
क्या आप वाकई इस टिप्पणी को हटाना चाहते हैं?
Jay Ability
टिप्पणी हटाएं
क्या आप वाकई इस टिप्पणी को हटाना चाहते हैं?