The world is changing
People are learning online
People are working online
Kuna nugu inasema kuwork online ni scam na anasoma online classes akishinda DM za watu na wazazi wake kuwaomba pesaπŸ–•πŸ–•

Chanuka ukue kama youths wengine waliochanuka. Kulewa sio kuchanuka!!! By the end of the day people watashindan ni nani akona pesa nyingi, business kadhaa na nyumba mzuri. Hawatashindana nani anaeza maliza mzinga moja pekee. Hii ni ya watu hawana akiliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ

Install Palscity app