❣️
""HUU NDIO UPENDO WANGU KWAKO "KWA SIKU YA LEO"

Nakuombea UBARIKIWE kama YAKOBO

Utembee na MUNGU kama HENOKI,

Uyashinde MAJARIBU kama AYUBU,

Uwe MWAMINIFU kama YUSUFU,

Upendwe Na Mungu kama IBRAHIM,

Usiwe Na Wivu Kama KAINI

Ufanikiwe katika yote kama SULEMAN,

Usiwe Na Moyo Mgumu Kama FARAO

Wanaoshindana nawe Washindwe kama GOLIATI
Wanaotaka kukuangamiza Waangamie kama JESHI LA FARAO,

MWISHO Tengeneza Ushuhuda "MWEMA"Mbele Za Mungu Kama HEZEKIA

Ubarikiwe kwa kila jambo utakalo lifanya hapa duniani, kama kweli wewe ni Mtu wa mungu naomba utume ujumbe huu kwa watu uwapendao zaidi ya 20

Install Palscity app