Install Palscity app

Simuulizi ya kuelimisha jamii

Usinilaumi mimi kaka chanzo ni shemeji

USINILAUMU MIMI KAKA CHANZO NI SHEMEJI!!!!

 

Imeandikwa na 

                         Simba mpole classic

 

    S E H E M U Y A K W A N ZA - 01

_______________________________________

Kaka yangu Moris anafanya kazi kiwanda cha sigara dar es salam.

Yeye ameajiriwa kama financial manager ndani ya kiwanda hicho.

Mara baada ya kumaliza kidato cha nne nilisafiri kwenda darsalam kumsalimu kaka, pamoja na shemeji ambaye sikuwahi kumuona hapo kabla.

Ilinilazimu kukaa nyumbani kwa kaka kwa kipindi chote ambacho nilikuwa nikisubiri matokeo yangu ya kidato cha nne.

Kaka yangu alikuwa na miaka 45 na Ndiye aliyekuwa mkubwa katika familia yetu.

Baada ya kuachana na mkewe wa kwanza alioa mwanamke mwingine Jina lake ni sanifa mwenye umri wa miaka 21.

Ingawaje nilikuwa nimemzidi shemeji sanifa kwa miaka minne mbele, lakini kaka moris aliniamini sana na hata wakati mwingine alikuwa anaenda kazini usiku na kurudi ni asubuhi.

Kiufupi kaka alikuwa sio mkaaji sana wa nyumbani isipokuwa siku ya jumamosi alikuwa anatuchukua mimi pamoja na shemeji na mfanyakazi wao mpaka mbezi bich kupoteza mawazo.

NAAM!!! NINAPOANDIKA SIMULIZI HII YA "USINILAUMU MIMI KAKA CHANZO NI SHEMEJI !!! NINATAKA KUELEZA JINSI SHEMEJI SANIFA ALIVOYAWEKA MAISHA YANGU HATARINI KWA SABABU YA KITU MAPENZI.

Ilikuwa ni siku ambayo kaka moris alitoka asubuhi na ilipofika usiku alimpigia mkewe sanifa simu kwamba hatorudi kwa siku hiyo hivyo tusiwe na wasiwasi kwa kumsubiri sana.

Nilichukua simu yangu na kuingia chumbani kwangu kujiliwaza na mambo mbalimbali mtandaoni ikiwa ni simulizi, pamoja na kuchat facebook na whasap.

Nilipenda sana kusoma sana simulizi za watunzi mbalimbali ambao simulizi zao zilikuwa zikinichombeza balaa.

Simulizi kama za mtunzi Ab Teacher,

 Simulizi za rumambo na pia riwaya za king wa milazo.

Ilikuwa sio desturi yangu kuchat sms za kawaida kwasababu nilikuwa mgeni wa simu na pia nilikuwa mlimbukeni haswaa! wa swala nzima la mapenzi.

Hivyo sikuwa na namba ya msichana yeyote kwenye simu yangu isipokua namba za marafiki zangu wa Kiume niliosoma nao na namba za ndugu zangu.

Lakini siku hiyo ilikuwa ya ajabu sana kwangu, wakati nikiwa nachati Facebook juu ya kiyoo changu cha simu palionekana sms ya kawaida iliyokuja na namba ngeni.

Nilitoka harakaharaka mtandaoni ili niusome ujumbe ule kisha nitakaporudi niendelee kusoma simulizi ya NIKUNE PANAPOWASHA SHEMEJI iliyoandikwa na mwandishi simba mpole.

Baada ya kuifungua sms ile ilikuwa na ujumbe wa salamu, sikuweza kujua ni nani hivyo tulianza kuchati.

"Mambo vp"

"Pw nani"

"Usiwe na haraka nitakuambia"

"Oky niambie"

"Fresh naomba nije tulale"

Nilisita kidogo kujibu kisha nikaanza kuwaza "huyu atakuwa nani?"

Hisia zangu zilinituma moja kwa moja kwa dabra ambae alikuwa ni mfanyakazi wa kaka.

Nilihisi huenda nilipokuwa nimeacha simu yangu chaji pale sebuleni atakuwa ndiye aliyechukua namba zangu.

Nilimuuliza tena 

"Niambie bhana wewe ni nani kama hutaki nipotezee"

Alinijibu "niruhusu kwanza nije chumbani kwako tutafahamiana hukohuko".

Nilihisi kama ni utani nikamjibu kwa harakaharaka "njoo" ili asinikatishe utamu wa simulizi niliyokuwa naisoma.

"Njoo"

"OKy nipe dakika tano"

Alinijibu hivyo kisha kimia kidogo kikachukua nafasi.

Baada ya muda mchache nilisikia mtu akisukuma mlango wangu ingawaje mlango ulikuwa unaburuza lakini alijitahidi kusukuma polepole.

Wakati huo nilikuwa nimezima taa yangu ya chumbani.

Nilisisimka mwili mzima huku hisia za mapenzi zikinipanda polepole kwa kuhisi labda atakuwa ni dabra.

Aliufunga mlango kwa utaratibu, lakini kabla hajageuka kuja kitandani nilimmulika kwa kutumia mwangaza wa simu yangu.

LAAH! HAULAAAA! alikuwa si mwingine ni shemeji sanifa.

Alifumba macho yake kwa aibu kisha akaketi kitandani.

"Shemeji kulikoni chumbani kwangu saizi?

"Si umeniruhusu ama!"

"Mimi sikujua kwamba ni wewe"

"Ulijua ni nani"

Swali hilo likiwa gumu kwangu nikabaki nimekaa kimia nisijue nini cha kumjibu.

Shemeji alikuwa amefunga kitaulo chake chepesi kilichopita juu ya matiti yake, wakati huo nilikuwa nimevalia kiboxer changu kama ilivo desturi yangu wakati wa kulala.

" Shemeji mimi sitaki unafikiri kaka akijua itakuwaje?"

Niliongea kwa sauti ya kunong'ona huku nikimshika mkono kumtoa nje shemeji sanifa.

"Sikia nikwambie wewe acha ulimbukeni wako wa huko kijijini wenzako wanatamani kucheza na mimi kitandani, wewe umebahatika lakini unazembea"

"Sio hivyo shemeji, wewe ni mke wa kaka yangu"

"Hata kama , nionee huruma Kenny kaka yako ananitesa hanifikishi kabisa nitakapo".

Ongea nae taratibu abalance mda wake"

"Tatizo sio mda huoni kwamba kaka yako kashazeheka!"

"Hapana sipo Tayari kugombana na kaka yangu kisa wewe"

Baada ya kumjibu kwamba sipo tayari ,shemeji sanifa aliangusha kitaulo chake chini kisha akasogea hadi masikioni mwangu na kuninong'oneza kwa utaratibu kabisa "ukikataa lazima nitamwambia kaka yako ulikuwa unataka kunibaka"

NINI KILIENDELEA? ????????? LIKE COMENT SHARE TUPASUE ANGA


Naomi essau

100 Blog posts

Comments