Yafahamu magari sita ya thamani yanayomilikiwa na watu maarufu na matajiri duniani
Bugatti Centodieci - $9.0 milioni <br>Bugatti Centodieci <br>Bugatti Centodieci inaendeleza kazi ya miaka 110 ya magari ya Bugatti yenye muundo mzuri na wa kuvutia. Moja ya magari yenye nguvu zaidi duniani ikiwa na horsepower 1,600.