MARADHI YAAMBUKIZWAYO KWA NJIA YA ZINAA #tuzungumze
UNAPOONZISHA MAHUSIANO MAPYA
usiache hisia zikuendeshe angalia njia za kupima na mpenzi wako
moya au sasa.
Ni vizuri uzungumze hili kabla hamjakutana kimwili a katika
mazunguzo yasiyo husisha ngono ili kila mmoja afikirie kwa
kumakinika.
Hata ikitokea umesimamishwa a mwezi wako wakati tayari
umevua nguo zote ni sawa kuzungumza juu ya hilo
Hivi ni jinsi unavyoweza kuzungumza na mweza wako juu ya
magoniwa ya zinaa
1.Mwambie nahisi baada ya haya mahusiano yetu naona hivi
karibu tutafanya mapenzi, ni vyema tukazungumza juu ya kupima
msgonjwa ya zinaa kama UTI's ,HIV , gonorrhea, kaswende na
pangusa.
2.Mwambie lazima nipime kabla ya kufanya ngono na mpenzi
mpya.vipi wewe mara ya mwisho kupima magoniwa ya ngono
ilikuwa lini.!?
3.au mwambie kwasababu hatujapima magoniwa ya zinaa kwa
pamoja ,ni lazima tutumie kinga.
Je unahitaji kumjuza mpenzi wako kwamba
Ndio, kama umepima nakukutwa unaugoniwa wa zinaa iwe ni
UTI, gono au kaswende inakulazimu kuwapa taarifa ya majibu
yako mpenzi wako wa sasa au wazamani waam ie kwamba
wanaweza kuwa umewaambukiza pia.
kama unaplan kufanya mapenzi na mtu yoyote inakubidi
kumwambia pia juu ya majibu yako.
KUMBUKA HAYA MAZUNGUMZO SIO UCHESHI AU
KUJICHORESHA, husaidia kupunguza maambukizi a kukata
mzizi
Maongezi juu ya kupima na majibu ya husaidia kuzuia usambaaji
wa magoniwa ya zinaa hurahisisha kungulika mapema na kupata
matibabu haraka ambayo husaidi kupunguza madhara yake
Hi ni nzuri kwa mgonjwa ya zinaa sababu mengi hayaoneshi dalili
mpaka madhara yake yaonekane, kama utasa na na baadhi ya
saratani .mpenzi wako inampaswa kujua ili aamue kama
ataendelea nawe pia inakudi kufahamu juu ya historia yao ya
maambukizi va zinaa. #palscity
Awais
Fhvvv
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?