Kumekucha!!
habari ya asubuhi ndugu yangu umeamkaje na usiku wako ulienda vepe naimani uko pouwa kabisa na kama ni hivyo ni jambo la kumshukuru MWENYEZI MUNGU samahani sana kwa usumbufu ndugu yangu bado nahitaji sana support yako ili tuweze kufika mbali naomba sana tusikilize hii EP mara nyingi kadri tuwezavyo ahsante sana na nakutakia asubuhi njema👏
https://www.boomplaymusic.com/....share/album/58190074