Uhusiano wa msanii na Sanaa. Uhusiano wa msanii na Sanaa huelezewa kupitia CHOMBO- chale Cha usanii. Mfano, mchoraji ana rangi na vifaa vyake , mpiga zeze ana zeze na mfinyanzi ana udongo na vifaa vingine.
A): Sanaa za Uonyesho ni gani? Hizi ni Sanaa ambazo uzuri wake unajitokeza katika umbo la kudumu linaloweza kuhifadhiwa na uzuri wake kuonyeshwa wakati wowote. Mfano ni kama vile: Uchongaji, utarizi , ufinyazi n.k
My neighbour's husband travelled to Dubai a week ago, but this morning, just as she was cleaning the bedroom, she found his passport. ..... who knows maybe he used his birth certificate to travel 🤔 🤣🤣🤣🤣.