4 سال - ترجمہ کریں۔

Sekta ya Afya???

image
4 سال - ترجمہ کریں۔

#meme

image

image
Samuel Baya ایک نیا مضمون بنایا
4 سال - ترجمہ کریں۔

Never stay alone | #@samuelbaya00

Never stay alone

Never stay alone

Best advice on being lonely while trying to avoid other people in fear of their attitude.

image
4 سال - ترجمہ کریں۔

Happiness is not something you.postponed for the future.it is something you design for the present

4 سال - ترجمہ کریں۔

Auntie wa Duka ??

Part 6

“Bradhe na si ulizaliwa na bahati mtu wangu.? Yaani baada ya Mary wako wa campo kukuacha unaangukia Mary mwengine wa Nairobi??” Kangaroo alinisifu lakini nilijua tu credit na sifa zote ni kwake??. “Wacha kunibeza brother, huyo kike Mkisii alinitoka kitambo! Si tukanyagie tu hiyo story?” I begged Kangaroo and he accepted my plea. Alinyamaza halafu akabadilisha topic. “Si nikutafutie dem mwengine before jioni ifike?” Kangaroo alinichocha tena. Nilikubali tu. Hata kama ni wewe ungekataa kweli? Tuliendelea kuzurura mtaani huku tukisaka mali safi yenye inaweza lika na straw. “The thought of you makes me feel like am flying out in the space while hypnotized. I can’t wait to dine with you in our small love paradise??.” I sent this text to Mary and waited to be left on read mode for eternity.? I usually hope for the best but still expect the worst. That’s me Katchumbarri ?the chairman??! After 5 minutes, simu yangu ililia nikajua tu ni Mary ananikol. Kuangalia kumbe I was wrong.?? Ni new number na si Mary. “Niko hapa West End unaweza kam thru for a warm night?”?? Sauti ilikuwa ya Bibi ya Landlord. “Kwani hukuenda kwenu?” I was just shocked??‍♂. “Niende kwetu kufanya nini? Are you coming or are you not?” Bibi ya mtu alikuwa ashaboeka na mimi na hakuwa ananibembeleza.??‍♂??‍♂ I looked in Kangaroo’s eyes because he was also listening to our conversation. He nodded his head. “Am on my way.” I said this and hang up.? “Huyo ni nani anakuitia mzigo?” Kangaroo aliniuliza. “Ni Bibi ya Landlord anataka niende nikague mali yake na sai hata sina fare ya kunifikisha huko tao.” Nilijipata nikicomplain Kangaroo anielewe.?? “Hii Nairobi a poor man is not supposed to ejaculate! It a sin for a broke man to erect.” Kangaroo alinirudisha class. Sikupenda hiyo lecture yake.? “Utanipea fare niende ama hapana?”? I didn’t even beg for his money. I wanted it. “Shika hizi soo tano fare ya kwenda na kurudi just in case ikuwe prank.” Alichomoa note ya soo tano akanipea. Nilishukuru halafu nikaanza kujitoa. “Hebu shika hii burungo pia.” Kangaroo alipiga kwa mfuko akatoa tembe mbili akanipea. “Hizi nazo ni za nini?” Niliuliza tu. “Shot moja achia sungura! Jibambe chairman ??Chapa hiyo kitu hadi inuke moshi ya kitunguu! Good luck!” Kangaroo waved me bye bye as I boarded the next matatu to town.?

Nilifika West End pale kwa reception.?? Niliulizia details za room yenye Bibi ya Landlord yuko lakini huyu demu wa reception aliniangalia vibaya sana. “Ni sponyo wako?”☺? Aliniuliza. “Nini kinakuwasha washa hii haga yako ndogo? ?Kama ni sponsor wangu ama si sponsor wangu shida yako iko wapi? Nanii tusiingiziane makasiriko time ya job pliz!”?☹ Nilipeana warning msichana akatii. Aliniambia room number halafu mm nami ni nani??? Sikumwambia hata thank you! Nilijipata room number 23 nikiknock na confidence as if niko kwangu. “Ingia tu sijafunga huo mlango??. Bibi ya Landlord alisema from the inside. Niliingia nikampata bibi ya mtu akiwochi TV huku akijinice na carton nzima ya popcorns. She was in a world of her own.?? “Nilidhani hutakuja, ungeona hell on earth!” ?Mama ya mtu alianza kunitishia hata bila salamu. Nilijifunza kunyamaza. ??I don’t talk too much nowadays. “Be grateful that I made it here.”? I just said this. “Why should I be grateful na ni wewe uliniletea hizi shida zote? Ni wewe ulifanya nikafukuzwa kwangu so it was just your obligation to meet my demands.”?? She said this na nikajifunza kunyamaza. “Sapa is almost ready, Katchumbarri ? utakula nini nikuitishie?” Bibi ya mtu aliniuliza. “Wali tu na nyama will do!” I said this to her displeasure. “Wacha upusi! ☹Hiyo ni food ya wagonjwa, itisha food ya wanaume ju unahitaji nguvu za kuninyandua usiku wote!” ☹?Bibi ya Landlord hakuwa anacheka na mimi. Nilijua shit was just about to go down. “Nilitewe ugali mlima na mayai saba na pilipili ikuwe kwa wingi!”?? Nilimwambia huku akisimama kutoka. “Better hivo, 6 coming soon

image

image
4 سال - ترجمہ کریں۔

Good morning

Install Palscity app

Android IOS