🍇.MKE MWENYE MAHABA HUSIMAMA NA MUMEWE KWA SHIDA NA RAHA

Mke mwenye mahabba hawi mwema wakati wa neema tu, bali pia husimama na mumewe na kumuunga mkono mumewe wakati wa shida na nyakati ngumu. Wakati wanawake wengine huwatupa mkono wenza wao wakati wa matatizo, mke mwenye mahabba husimama imara na mumewe katika nyakati nzito; anakuwa mke mwema na mwenye mahabba katika shida na raha.

Install Palscity app