MARADHI YA MOYO PART 4B
UKWELI KUHUSU KUPENDA PESA (MALI NI MTIHANI) <br> <br>Allah anasema waziwazi katika Quran kwamba mali na watoto ni mtihani. Sababu moja ya watu kusitasita kutoa ni kwa sababu wengine wanaogopa itapungua mali zao na basi hawatakuwa na za kutosha kwa familia zao.