BUSHMONEY SRK ایک نیا مضمون بنایا
2 سال - ترجمہ کریں۔

MWILI WAKO NI IMARA ZAIDI YA UFIKIRIAVYO | ##BUSHMAN #HIV

MWILI WAKO NI IMARA ZAIDI YA UFIKIRIAVYO

MWILI WAKO NI IMARA ZAIDI YA UFIKIRIAVYO

Ipo hivi, wewe kwenye damu yako kuna kinga nyeupe kinga hizi nyeupe huwa na sumu ya kuua vimelea vya magonjwa, mfano umepata malaria > mwili huzalisha chembe chembe nyeupe kwenda kuzishambulia vimelea vya malaria ambazo ni plasimodia.

Install Palscity app

Android IOS