BAADHI YA MISTARI INAYOPINGANA KATIKA BIBLIA
đMathayo 08:28đ , *naye alipofika ng'ambo katika nnchi ya wagerasi watu wawili wenye pepo walikutana naye wanatoka makaburini wakali mno hata mtu asiweze kuipita njia ile njia*
đMarko 5:1-2đ *wakafika ngambo ya bahari mpaka nnchi ya wagerasi na alipokwisha shuka chomboni mara akakutana na mtu ambaye ametoka makaburini mwenye pepo mchafu*
Swali je đYesu alikutana na watu wawili wenye pepo kama ilivyoandikwa *Mathayo 08:28* au alikutana na mtu mmoja mwenye pepo kama ilivyoandikwa katika kitabu cha *Marko 5:1-2*đđ€đ€đ€, utajua hujui
*Its moment of truth*#bushmoney