4 ๅนด - ็ฟป่จณ

Umetumwa kwa kwa soko ๐Ÿƒukapewa 1k ulete ktu imergency Zo doh zkapotea kurudi home ukaexplain but maparo n wakali ukachapwa karb kifo ukapewa punishment kumbe ulkopewa punishment ndiko zilipotelea ๐Ÿ™‹ ukazipata unaeza rudisha kwa wazazi ??๐Ÿงš ama unaeza endlea kufanya ile punishment?? Ama unaeza fanya nn if were u๐Ÿ™‡๐Ÿ™‡๐Ÿ™‡๐Ÿ™‡๐Ÿ™‡๐Ÿ™‡

Install Palscity app

Android IOS