Nikiwa primary nilikua nataka kuwa accountant wacha nifike secondary nimakabadilisha nikasema nataka kuwa doc vyenye nilenda Colle nikasema wacha nifanye course yangu ya teaching nilimaliza lakini sahii Niko zile za karibia karibia karibia customer upate laini ya airtel na 50mbs of data free lakini maisha kwa nini iko hivo

Install Palscity app

Android IOS