4 jr - Vertalen

Lakini ogopa hii kondaa wa matatu 😂 nimesimamisha gari nikitaka kuingia imejaa Sasa nikamwambia siwezi ingia. Walai akaniambia kwenda uko unaringa na nywele zako zinakaa group discussion 😭😭😭
#ananawechigeikondoo
#MtaachanaTu

image

Install Palscity app

Android IOS