Good morning Palscity family
Have been thinking over and over plus calculating Kutoka Egypt hadi Canaan ni 847km. Alafu musa na wanaisraeli walikuwa wanatembea.... Na walichukua 40yrs.per yr walienda like 21km,alafu per month ni 1.76km.,nimepata per day ni 58 meters, na walikuwa wanaenda both day and night?.... iteni musa hapa ??? #

Install Palscity app

Android IOS