Leo nimetoka kazi 6am nikapata Sharon hayupo kumpigia phone akaniambia Alzaro ๐, mimi na wewe tumewachana kabisaa.Nikaona niingie huku palscity angalau nitulize akili yangu kiasi kidogo,Kumbe sikuwa na data zilikuwa zime expire๐ niliona niingie tu na free mode nisome hata Memes za watu
Kighafla nikakutana na post yake Sharon ameweka picture lakini hapo juu ameandika 'I LOVE YOU SWEETHEART โค๏ธ'
mimi na kiherehere changu nikarusha comment hapo chini 'I love you too darling come back home'
Sahii nimenunua data nikaona niview hiyo picture ambayo Sharon alipost yangu nikapata si mimi ni jamaa mwingine๐
Niko huku nje ya nyumba natafuta pahali pazuri pa kuzirai๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ