2 砖谞讬诐 - 转专讙诐

DAAH HAYA MAISHA HAYA MMH ! MUNGU TUSAIDIE 馃檹
Hii imetokea huko Arusha ,
Baba mzazi Amuua Mtoto wake mwenyewe Kwa kumpiga na Nyundo ...

Ni Mara baada Ya Kumtuma mtoto akanunue mboga za majani maarufu kama Mchicha,
Ndipo mtoto Alipochelewa kurudi,

Baba mzazi Akachukua Uamuzi wa kumuua Mwanae kwa kumpiga na Nyundo sehemu za mwili wake ... FUATILIA VIDEO HII 馃憞馃憞 UJIONEE 馃憞馃憞馃憞馃嚬馃嚳#PalscityRewardsContentCreators
https://palscity.com/site-pages/affiliates

Install Palscity app

Android IOS