1 y - Translate

*Hellow*
Hili ni kwa wanawake na Wana ndoa pia karibu katika darasa huru;;

Kutokwa Na Uchafu Wa Njano / Kijani / Brown Ukeni , ( *Vagina Discharge* )
-Ikiambatana na kupata maumivu ya tumbo chini ya kitovu,
-Kuwashwa Ukeni b
-Kuwaka Moto wakati wa haja ndogo
-Na UTI isiyoisha

Naweza kusema yawezekana ukawa na *Pelvic Inflammatory Disease* ( Yaani PID ) pamoja Na *Yeast Infection* ( Fangasi ).

Jinsi gani basi PID inatokea.

PID ni moja katiya magonjwa yanasababishwa hasa na Ngono isiyo Salama ( *Sexual transmitted diseases* ) endapo utajamiiana na Mgonjwa mwenye Vimelea vya PID kama Vile,
*Neisseria Ghonorrhoea*
*Chylamidia trachomatis*

Mgonjwa mwenye vimelea hawa Mara nyingi sio Rahisi kuwa na dalili hasa kwa Wanaume wenye vimelea hvi isipo kuwa ni kwa kupata maumivu ya nyonga, Chini ya kitovu, Kutokwa uchafu unaotofa harufu ukeni na kuwashwa kwa *Wanawake*

Lakini pia PID huufanya uke kuwa mkavu ( *Vaginal dryness* ) yaan Uke kutokuwa na Ule Ute ute ( *Mucous* ) wa kawaida unaoimarisha Uke.

Sababu nyinginezo zinazoweza kupelekea Ukawa Na PID au Fangasi ni,

-Matumizi ya Sabuni kusafusha Ukeni
-Kujipulizia Spray
-Kupaka Manukato au mafuya /lotions yenye kemikali Ukeni.
-Kutumia Vipandikizi vya Ukeni ( IUD - Intra uterin device
-Kufanya Sex isiyo Salama.

*Counseling*
Hakikisha hutumii sabuni kusafisha uke na mtumizi ya Manukato kupuliza ukeni.

Jitahidi kuepeuka kufanya Oral Sex ( Ngono kwa kutumia kinywa yaan Mwanaume kumnyonya ukeni ) Nikiwa na Maana kwamba UTI/PID pia zinaweza kutokana na kufanya Oral Sex kwasbb kwa kawaida uke wa mwanamke una Normal flora / bacteria ambao wapo kwaajili yakuulinda Uke usiingiliwe na vimelezi vingine ambao wanaitwa *Lactobacillus* , Hvyo basi kinywa cha binadamu pia kina bacteria wanaoulidna mdomo. Wakati wakufanya Oral sex Mwananume / Mwanamke ( Lesbian/ wanaosagana ) huamisha Bacteria wa mdomoni kwenda Ukeni ambapo bacteria hao wanapokuwa mahali sio pake huanza kushambulia na kuzaliana kwa wingi hvyo Ku interfere kazi ya *Lactobacillus* ( Bacteria wanaolinda uke ) na mwisho wa siku kuanza kuwashwa ukeni na dalili nyinginezo huanza kujitokeza.

Epuka kufanya Sex isiyo salama, Chanzo cha PID / UTI kinaweza kuwa sabb ya Ngono isiyo salama , Inakadiriwa kuwa Kwa Kiasi kikubwa au Asilimia Nyingi Wanaume wanaweza kuwa na Vimelea vya *Neisseria au Chylamidia* lakini wasiwe na dalili za Ugonjwa kutokana na maumbile yao dalili kwa Wanaume huchelewa kuonelana tofauti na Wanawake hvyo unaweza jamiiana na Mwanaume aliye athirika na vimelea hvyo ukapata maambukizi.

Usipende sana kutumia *Birth control pills* ( Vidonge vya Uzazi wa mpango kama vile P2, Flex p n.k ) Vidonge hvi husababisha mtu kuwa na tatzio la *Hormonal imbalance* ambalo kinaweza kuchangia kutokwa na Uchafu wa njani ukeni.

Mara baadaya yakuwa na dalili za PID ni vyema ukafika hospital kwaajili ya vipimo vifuatavyo ili kuhakiki kama ni PID / Fangasi.

*Diagnosis*
Ukifika Hospital eleza shida yako vizuri na ni vyema kufanya vipimo kama.

*High Vagina Swab Wet/ Gram Stain Technique* ( HVS )

Muombe Daktari pia kama hatokuandikia Kufanya *Culture* muombe ufanye kipimo cha.

*High Vagina Swab Culture and Sensitivity* ( HVS. C/S ) . kipimo hiki nikwaajili yakutoshea wale vimelea tunakuwa time wa Suspect ili upate dawa sahihi.
Mara nyingi watu wenye PID / UTI huandikiwa dawa ya *UG-CARE PLUS* wengine huwaponya na wengine haisaidii hutokanana Stage au hatua ya vimelea vilipofikia hvyo ni vyema ukamjuza Daktari juu ya dawa uliyokwisha tumia mwanzo na haijsaidia ili akuandikie Dawa nyinginezo.

Kwaajili ya Matibabu.

NB;- Hakikisha Unatumia Dozi mpaka iishe, Usifanye Sex Tena mpaka uhakikishe umepona kabsa tatizo

Health Life
Tunajali AFYA yako

Install Palscity app