4 سال - ترجمہ کریں۔

😂😂 Akh mm Kama kuna kitu sipendi Ni ujinga 😂juzi nilimeet na msee mwingne alikuwa na ukondoo (ufala)😂😂bt mm Ni Nani nilicheza kipainkiller,😂😂

Tom. ::kijana ulimaliza shule??
Painkiller::zii ...shule ilinimaliza😄😎😎.
Tom::unatumia nini wew ??
Painkiller::Tecno but nadai kununua iPhone 😎
Tom :::si uko na shinda ya kichwa😂
Painkiller::hapana kichwa ilipona tumbo ndio inauma Sana😂😂
Tom::acha nikuachie yesu😂😂😂😂😂😂
Painkiller::leo haiwezi make juu Kuna jirani ameniachia katoto kake nimwangalilie so itabdi umeniachia kesho😂😂😂😂😂😂😂😂😂..

Mm sipendi ujinga😂😂😂😂#bangisentral 😂 kijana wenu bado😂😂😂

Install Palscity app

Android IOS