4 tahun - Menerjemahkan

πŸ˜‚πŸ˜‚ Akh mm Kama kuna kitu sipendi Ni ujinga πŸ˜‚juzi nilimeet na msee mwingne alikuwa na ukondoo (ufala)πŸ˜‚πŸ˜‚bt mm Ni Nani nilicheza kipainkiller,πŸ˜‚πŸ˜‚

Tom. ::kijana ulimaliza shule??
Painkiller::zii ...shule ilinimalizaπŸ˜„πŸ˜ŽπŸ˜Ž.
Tom::unatumia nini wew ??
Painkiller::Tecno but nadai kununua iPhone 😎
Tom :::si uko na shinda ya kichwaπŸ˜‚
Painkiller::hapana kichwa ilipona tumbo ndio inauma SanaπŸ˜‚πŸ˜‚
Tom::acha nikuachie yesuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Painkiller::leo haiwezi make juu Kuna jirani ameniachia katoto kake nimwangalilie so itabdi umeniachia keshoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..

Mm sipendi ujingaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚#bangisentral πŸ˜‚ kijana wenu badoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Install Palscity app

Android IOS