4 ๋…„ - ๋ฒˆ์—ญํ•˜๋‹ค

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Akh mm Kama kuna kitu sipendi Ni ujinga ๐Ÿ˜‚juzi nilimeet na msee mwingne alikuwa na ukondoo (ufala)๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚bt mm Ni Nani nilicheza kipainkiller,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Tom. ::kijana ulimaliza shule??
Painkiller::zii ...shule ilinimaliza๐Ÿ˜„๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž.
Tom::unatumia nini wew ??
Painkiller::Tecno but nadai kununua iPhone ๐Ÿ˜Ž
Tom :::si uko na shinda ya kichwa๐Ÿ˜‚
Painkiller::hapana kichwa ilipona tumbo ndio inauma Sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tom::acha nikuachie yesu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Painkiller::leo haiwezi make juu Kuna jirani ameniachia katoto kake nimwangalilie so itabdi umeniachia kesho๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..

Mm sipendi ujinga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚#bangisentral ๐Ÿ˜‚ kijana wenu bado๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Install Palscity app

Android IOS