P.A.R.T 1; ๐ท MY DIA WANDIA ๐ท
Last sunday nilikua naenda kutembelea beshte yangu๐ฏ ,then mat nilikua nimepanda nikaona msupa mrembo mwenye ameumbika akafika nikaona nikae naye juu uwezi know miracle za mungu vile zinafanyika ๐.Sema dem brown skin alafu tulips twingine tusupuu kuruka waaah..ikabidi nijiambie kimoyomoyo๐ .....Take it Slow ya Willy Paul ft Sautisol .
Dem aliposema "hi" Waaah Kushtuka!!! Nikajibu "hi too" Hapo niligain Confidence, nikakumbuka ile Mistari yangu nilikatia nayo kina nani, na nani. Nikajiambia baaas๐ฏ๐ฏ๐ฏ๐ฏ.
Hapo tukajuana akaniuliza naenda wap, nikamshow naenda kutembelea beshte yangu๐, Na yeye akanishow anaenda Church NPC Valley Road na akanishow niandamane naye leo ni siku ya kuabudu๐.
Nikakumbuka msemo usemao it's only a fool who doesn't change his mind, nikaamua kwenda church na huyo dem then akanishow atanilipia fare so nisijali๐ ....Tukafika church tukaabudu poa๐.
Imagin kitu funny huyu dem alinipea Sadaka ya 200 nilipe. Nikajiuliuliza kwani nalipia church rent๐ฒ๐ฒ๐ฒ!!!! Sasa pastor akauliza kama kuna mgeni, yule dem akaniangalia nikajua Wah!!!...Mmmmmmh..Dem alinishika mkono yangu akainua juu๐ฏ!!
Sema kutetemeka Walai but juu mwanaume ni kujijaz ikabidi nisimame nijitambulishe ๐ . Sema kuitwa mbele ya church, chenye kilifanyika next mungu ndo anajua ..Church ikaisha tukaenda tao.
Dem akanipeleka THE RICHLAND hotel๐ค...Sema kuletewa food ingine hata sijui venye inaitwa๐. Tulikula tukamaliza dem akaanza kunisomea bible sasa. Hapo sisi hao tukapanda gari kufika town akanipatia Bible yake akanihug then akanipea 500, eti nitumie kama transport kwenda kejani ๐.
Kufika home kufungua bible nikapata number yake ya simu na note
inasema , ''hey handsome๐, u are such a wonderful guy & i like you... Continue reading the word of God . Nice time, yours WANDIA๐ ." Waaah....WANDIA๐ฏ๐ฏ๐ฏ๐ฏ!!!!!