P.A.R.T 1; đ· MY DIA WANDIA đ·
Last sunday nilikua naenda kutembelea beshte yanguđŻ ,then mat nilikua nimepanda nikaona msupa mrembo mwenye ameumbika akafika nikaona nikae naye juu uwezi know miracle za mungu vile zinafanyika đ.Sema dem brown skin alafu tulips twingine tusupuu kuruka waaah..ikabidi nijiambie kimoyomoyođ .....Take it Slow ya Willy Paul ft Sautisol .
Dem aliposema "hi" Waaah Kushtuka!!! Nikajibu "hi too" Hapo niligain Confidence, nikakumbuka ile Mistari yangu nilikatia nayo kina nani, na nani. Nikajiambia baaasđŻđŻđŻđŻ.
Hapo tukajuana akaniuliza naenda wap, nikamshow naenda kutembelea beshte yanguđ, Na yeye akanishow anaenda Church NPC Valley Road na akanishow niandamane naye leo ni siku ya kuabuduđ.
Nikakumbuka msemo usemao it's only a fool who doesn't change his mind, nikaamua kwenda church na huyo dem then akanishow atanilipia fare so nisijaliđ ....Tukafika church tukaabudu poađ.
Imagin kitu funny huyu dem alinipea Sadaka ya 200 nilipe. Nikajiuliuliza kwani nalipia church rentđČđČđČ!!!! Sasa pastor akauliza kama kuna mgeni, yule dem akaniangalia nikajua Wah!!!...Mmmmmmh..Dem alinishika mkono yangu akainua juuđŻ!!
Sema kutetemeka Walai but juu mwanaume ni kujijaz ikabidi nisimame nijitambulishe đ . Sema kuitwa mbele ya church, chenye kilifanyika next mungu ndo anajua ..Church ikaisha tukaenda tao.
Dem akanipeleka THE RICHLAND hotelđ€...Sema kuletewa food ingine hata sijui venye inaitwađ. Tulikula tukamaliza dem akaanza kunisomea bible sasa. Hapo sisi hao tukapanda gari kufika town akanipatia Bible yake akanihug then akanipea 500, eti nitumie kama transport kwenda kejani đ.
Kufika home kufungua bible nikapata number yake ya simu na note
inasema , ''hey handsomeđ, u are such a wonderful guy & i like you... Continue reading the word of God . Nice time, yours WANDIAđ ." Waaah....WANDIAđŻđŻđŻđŻ!!!!!