3 砖谞讬诐 - 转专讙诐

PART 3; 馃尫 MY DIA WANDIA 馃尫

Mm nkifanya shopping naita bro anakuja kubeba lkn sasa kimwanamke kinakalishaga tu haga apo kikifikiria hio shuguli n ya bro馃!! Bro pia alimdanganya dem wake eti maparo ndio wanamtumiaga pesa ya kila kitu 馃槶. One day, nikaona gaidi ako like 6 weeks pregnant, nikajua hta wao wamekuja sana, nikaanza kuwaonea 18, nikaamua kuchora plan馃槑.

Siku moja jioni nlikuja om mapema馃檮. Nikapata bado hawajepika supper. Mwende (dem wa bro wngu mdogo) akaniambia, ''kazi yako ni kukula tu na kuenda, haujui jinsi ya kutafuta, enda upike supper.'' Sikuongea hta kidgo nliekelea jikoni nikapika tu vzuri馃槉馃槉. After chakula kuiva nikakimbia dukani kuenda kununua sumu. Nliporudi nikaserve chakula ya watu watatu馃槈. Kama mbya mbya, yangu nikajiwekea chakula kidogo sana, kama ya kawaida then ya bro wngu na gaidi wake, nikaweka chakula nyingi then nikaweka sumu馃.

Huyo mm nikawapelekea chakula mezani. Bro alipoangalia ile chakula nimemwekea na ynye nimejiwekea馃檮, akaamua kunihurumia akasema, ''bro kula hii chakula umeniwekea, nikule hiyo yako coz hata mm nimeshiba馃.'' Wah! Makosa, hapo nlijua imeumana coz mm nguruwe nlikuw nimejikaranga kwa mafuta yngu mwenywe馃槴馃槴.

Bro wngu mdogo alichukua ile chakula yngu kidogo then akaendelea kukula馃槉. Mwende (dem wa bro wngu mdogo) naye kabla akule akasimama kwa nguvu na hasira then akasema, ''kunguni hii, hii mboga umekaranga na mafuta ama mchanga?馃槕'' Kimadharau akachukua ile chakula akaenda kumwaga nje. Mm naye nikajifnya nimeboeka nikachukua ile chakula ilifaa kuw ya bro wngu mdogo, nikaenda kumwaga nje馃. Heri kulala njaa, kuliko kulala mochari. PLAN A, ikagonga ukuta.Hapo nikaenda kwa room yngu ya kulala. Kitandani nikatoa 4n yngu nikaamua kumtext WANDIA馃槑. Nikamtext hivi, ''my dia wandia hi馃憢.'' Sikuw na hopes ya reply coz amenilenga for like a month. ''Hi too handsome馃槝 '' boom! Wandia akareply. Hapo nikafeel high. Nikamtext tena , ''long time nimekumiss sana馃槸.'' Kabla hata sijetoka kwa app ya messages dem akareply ati, ''I miss u more than you miss me馃槏!'' Hapo nikaguswa zaidi hadi nikasimama kwa kitanda niconfirm kama in text yake馃憗.

Kuconfirm in text ya WANDIA, nikafurahia sana hadi nikahisi ni kama naweza enda kwa chief nimpee barua ya kumfuta kazi馃. Nikiwa nawaza cha kumreply, text ya maria( dem fulani mtumba) ikapop juu ya screen. Alikuw amenitext ati, 'hi lipua siku hizi umepotea, si ukuje hadi kwangu uone vnye nimejaza haga馃槤.'
Bila kuwaza nikaamua kumreply hivi, ''hiyo haga yako ndogo kama earphones ukifungia towel inafnya towel ikae kama bandage馃槀.'' Pap! Nikatuma. Kuenda kuona screen, nikasoma ati 'sending to DIA WANDIA馃槶馃槶馃槶馃槶馃槶''
MAKOSA!!!!

Install Palscity app

Android IOS