3 ๋…„ - ๋ฒˆ์—ญํ•˜๋‹ค

PART 3; ๐ŸŒท MY DIA WANDIA ๐ŸŒท

Mm nkifanya shopping naita bro anakuja kubeba lkn sasa kimwanamke kinakalishaga tu haga apo kikifikiria hio shuguli n ya bro๐Ÿค!! Bro pia alimdanganya dem wake eti maparo ndio wanamtumiaga pesa ya kila kitu ๐Ÿ˜ญ. One day, nikaona gaidi ako like 6 weeks pregnant, nikajua hta wao wamekuja sana, nikaanza kuwaonea 18, nikaamua kuchora plan๐Ÿ˜Ž.

Siku moja jioni nlikuja om mapema๐Ÿ™„. Nikapata bado hawajepika supper. Mwende (dem wa bro wngu mdogo) akaniambia, ''kazi yako ni kukula tu na kuenda, haujui jinsi ya kutafuta, enda upike supper.'' Sikuongea hta kidgo nliekelea jikoni nikapika tu vzuri๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š. After chakula kuiva nikakimbia dukani kuenda kununua sumu. Nliporudi nikaserve chakula ya watu watatu๐Ÿ˜‰. Kama mbya mbya, yangu nikajiwekea chakula kidogo sana, kama ya kawaida then ya bro wngu na gaidi wake, nikaweka chakula nyingi then nikaweka sumu๐Ÿค.

Huyo mm nikawapelekea chakula mezani. Bro alipoangalia ile chakula nimemwekea na ynye nimejiwekea๐Ÿ™„, akaamua kunihurumia akasema, ''bro kula hii chakula umeniwekea, nikule hiyo yako coz hata mm nimeshiba๐Ÿค”.'' Wah! Makosa, hapo nlijua imeumana coz mm nguruwe nlikuw nimejikaranga kwa mafuta yngu mwenywe๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ.

Bro wngu mdogo alichukua ile chakula yngu kidogo then akaendelea kukula๐Ÿ˜Š. Mwende (dem wa bro wngu mdogo) naye kabla akule akasimama kwa nguvu na hasira then akasema, ''kunguni hii, hii mboga umekaranga na mafuta ama mchanga?๐Ÿ˜‘'' Kimadharau akachukua ile chakula akaenda kumwaga nje. Mm naye nikajifnya nimeboeka nikachukua ile chakula ilifaa kuw ya bro wngu mdogo, nikaenda kumwaga nje๐Ÿค—. Heri kulala njaa, kuliko kulala mochari. PLAN A, ikagonga ukuta.Hapo nikaenda kwa room yngu ya kulala. Kitandani nikatoa 4n yngu nikaamua kumtext WANDIA๐Ÿ˜Ž. Nikamtext hivi, ''my dia wandia hi๐Ÿ‘‹.'' Sikuw na hopes ya reply coz amenilenga for like a month. ''Hi too handsome๐Ÿ˜˜ '' boom! Wandia akareply. Hapo nikafeel high. Nikamtext tena , ''long time nimekumiss sana๐Ÿ˜ฏ.'' Kabla hata sijetoka kwa app ya messages dem akareply ati, ''I miss u more than you miss me๐Ÿ˜!'' Hapo nikaguswa zaidi hadi nikasimama kwa kitanda niconfirm kama in text yake๐Ÿ‘.

Kuconfirm in text ya WANDIA, nikafurahia sana hadi nikahisi ni kama naweza enda kwa chief nimpee barua ya kumfuta kazi๐Ÿค—. Nikiwa nawaza cha kumreply, text ya maria( dem fulani mtumba) ikapop juu ya screen. Alikuw amenitext ati, 'hi lipua siku hizi umepotea, si ukuje hadi kwangu uone vnye nimejaza haga๐Ÿ˜.'
Bila kuwaza nikaamua kumreply hivi, ''hiyo haga yako ndogo kama earphones ukifungia towel inafnya towel ikae kama bandage๐Ÿ˜‚.'' Pap! Nikatuma. Kuenda kuona screen, nikasoma ati 'sending to DIA WANDIA๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ''
MAKOSA!!!!

Install Palscity app

Android IOS