Sisi wana dunia tukumbuke maneno aliyosema Bikira Maria , alopowatokea watoto wa fatima Lucia ,. Fransisca na Jacinta .Alisema tusali , tusali rozari tupate amani . Na tuwaombee wale wakosefu wasio na mwombezi na wasiomwamini Yesu Mwokozi wamuamini ili waokoke
Ayesha5476
删除评论
您确定要删除此评论吗?