Nimepigia simu ex wangu ๐ akaanza kuniuliza maswali mob aty "ulitoa wapy number zangu!!!" Nikamjibu nilikuwa natafuta maid achunge mtoi wangu nikapewa hii contacts yako so none of my business๐๐๐๐ mimi sipendi ujinga nanii
#ananawechigeikondoo
#MtaachanaTu
#onamen_kounotok_sigotee_aituu
Phinius Ichaminya
ใณใกใณใใๅ้ค
ใใฎใณใกใณใใๅ้คใใฆใใใใใใงใใ?