3 ๋…„ - ๋ฒˆ์—ญํ•˜๋‹ค

Nimepigia simu ex wangu ๐Ÿ’” akaanza kuniuliza maswali mob aty "ulitoa wapy number zangu!!!" Nikamjibu nilikuwa natafuta maid achunge mtoi wangu nikapewa hii contacts yako so none of my business๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mimi sipendi ujinga nanii
#ananawechigeikondoo
#MtaachanaTu
#onamen_kounotok_sigotee_aituu

Install Palscity app

Android IOS