3 砖谞讬诐 - 转专讙诐

LOVE GAMES馃挅
Part 1

Monday morning, kwa saa yangu ya mkono inaniambia ni saa mbili asubuhi, nimesimama kwenye gate ya shule kumgoja mama ambaye nilikuwa nmemwacha nyuma kidogo馃檹, macho yangu hayaachi kutazama picha nzuri nzuri na zenye mvuto wa aina yake, zipo kwenye ukuta wa gate鉂o笍. Moyoni mwangu nimeanza kuhisi nikama ndoto yangu ya kusomea kwenye shule ya majuu imeanza kutimia馃挏. Mbele yangu amesimama bawabu mlinda lango, mwenye macho mekundu kama damu, sura yake ilieleza mengi, haonekani mzee mwenye mzaha馃槏.

"Kijana samahani, weye ni msomi wa hapa?" Aliniuliza kwa sauti nzito ambayo ilinifanya nishikwe na wasiwasi 馃檹.
"La hasha mzee, nmekuja kuomba nafasi tu" nilijikakamua.
"Ahaa, karibu kwenye shule yenye masomo ya hali ya juu, hapa ndipo, umefika mwanangu, ila nilikuwa nishajuwa wewe si wa humu, maana hapa wanafunzi wana heshima," 馃

馃 mmh heshima?, Ina maana mm sionekani mwenye heshima馃. Nilijiuliza kimoyomoyo. "Samahani mzee, una maana gani??".
Kwa kicheko cha kulazimisha, "ndio, wanafunzi wa hapa kamwe hawawezi simama karibu na mtu aliyewazidi kwa umri na wakose kumrushia salamu, hilo tu ndo lilikuwa dhibitisho tosha 馃檹".

"Ahaa naomba radhi jamani, shikamoo mzee wangu?" Nilisema kwa aibu, nisijue pa kuficha sura yangu馃檲馃檲.

"Marahaba kijana, unaonekana chiriku mwenye hana maneno mengi馃, mie naitwa mzee Kwatu, mm ndimi principal wa hapa馃檹馃檹馃槻 naomba kukufamahisha kwamba umeshapita mtihani wa kwanza, una heshima nimeona".

Mwili wote ukaanza kunitetema, "Principal??" Niliuliza kwa mshangao馃檰馃檰.

"Ndio, mimi ndimi, kwa sasa naomba unifwate馃檹". Tulifululiza hadi ofisini, kumbe mama yuashafika, inaoenekana ilikuwa plan yao kunijaribu.

Hata hivyo, nilifanikiwa kupewa nafasi kwa hiyo shule maridadi馃挆.

Wiki la kwanza kwa shule mpya halikuwa rahisi. Haya yote yanatokea baada ya kutolewa kwa shule niliyojiunga nayo mwanzo kwenye kidato cha kwanza. Nilipofika kw cha pili,, kukatokea mkasa wa moto na hivyo kila kitu kilichokuweko bwenini hakikusaswa na moto馃檰馃檰. Shule ilipofungwa basi mamangu akaamua kunileta kwa hii shule niliyomo kwa sasa馃檹馃檹.

Siki yangu ya kwanza darasani馃檲. Kila niliyemwangalia alikuwa ameniangalia,, si wa kusmile si wa kunicheka kwa aibu yangu, si wa kunifinyia jicho. Lakn kuna mmoja wao ambaye hata hakuniongelesha, kuniangalia wala kunipa smile馃馃. Amerembeka ajabu, big and sexy eyes, akiamka nitawaambia body shape, lkn kwa sura lazma niseme, she has a baby face 馃槏.

Nilikuwa na haja sana ya kujuwa kwann anakaa tofauti na wengne馃馃.

Kama si lazma basi ni kawaida, huwa mgeni akija darasani, kila mtu hutaka kujuwa huyu mtu ni wa aina gani馃.

My curiosity didn't allowed me to remain seated, though nilikuwa bado mgeni,, sikujuwa ni nani wa kumchukuwa kama rafiki na ni nani wa kumbeba kama adui,, lakn possibility of me being her enemy was over a hundred percent 馃檰馃檰.

Kabla niamke ili nmsongee nikijifanya naomba notes. Kuna mmoja wao alikuja nilipokuwa nmekaa, sema wengne kumwangalia, mind ikanishow huenda amenipenda na ameshawaambia wengne kuhusu hilo, niliapa kutojiangusha.馃挭馃挭.

"Hi, sorry for interrupting your studies, am Hellen lakn wenzangu huniita Cute馃檹馃檹." She explained.
"Ohh nice to talk to you Cute. Am Trevor, (nikapelela mkono kumsalimia lakn daro yote ikaangua vicheko馃槻馃槻 nikarudisha mkono wangu馃槶馃槶).

Cute: Sorry Trevor,, huku we don't shake hands, Corona manenos. Yan kwenu haikuwa imefika ama??

Nilijiona fala for first time,, hata maneno niliyokuwa nmepanga kumrushia yote yanihama馃檲馃檲. "Ooh it's okay, I now know 馃檹".

Hellen: So mm ndo class piri馃槻. Ningependa kujuwa majina yako yote tafadhali馃. Trevor nani??

Bado nilishangazwa na behaviors za huyo huyo mrembo mwengne馃. Hata watu walipocheka yeye hakushughulika kuniangalia馃. Am I ugly??

"Hey Trevor, nimetaka kujuwa majina yako kamili馃檹,"
After kumwambia alinirushia kakaratasi kwa locker yangu馃槻. Sikumind kukasoma hiyo tym, I knew that she was already in love with me鉂o笍. Nilifeel ni kama nmeanza kuwakunywa mapema mapema馃挭馃挭. Boy child馃槀.

After tea break, niliamua nooh, lazma nijue kwa nini huyu dem hana shughuli mingi kama wenzake馃檹馃檹. Nilisanya ujasiri hadi ukafika kilo moja na nusu then nikasema baasi馃槀. Liwalo na liwe.

Kwa hii life kila msee ana crush ama amewahi kuwa naye. As for me, my heart had already falling for someone, none other than the different prettiest girl in class ,mwenye hakuwa na shughuli na mm馃.

Nilipoamka kumwendea kila mtu alinigeuka kwa mshangao 馃槻,, Cute kwanza ndo hakuamin馃檰, alijaribu kunifinyia jicho lakn nikaona ni wivu yake tu,,

"Hey, am Trevor,".
"Am Stacy," she said with lots of smiles on her face.
"WOW, beautiful name, just as your face."
"OMG please stop it, (blushing) am not that beautiful Trevor, I mean stop exaggerating 馃А馃А".

Hapo nikajuwa kitu imeanza kujipa馃槏.

"Amn't exaggerating Stacy, so am not supposed to praise your beauty 鉂o笍?"

"Who said that Trevor,, (still blushing) okay thanks basi,, now go馃檲. You are making me uncomfortable 馃檲". She said with an angelic voice... For sure kama mm ningekuwa nyoka basi sijui pangoni ningekuwa nafanya nini馃槏 ningekuwa nishatoka kitaambo馃槏.

"Please, can I have your number Stacy, here is mine," I gave her mah number and guess what 馃挅馃挅. She took it 馃槏.

"Yangu ndakukol uipate sawa" she said in a low voice.
"Promise you will call me today Stacy 馃構馃構".

Her: Today?? Trevor this is a boarding school, kwan una simu huku shuleni wewe?

Me: Chill manze, usichome. But iko kwa Dom kwa bag 馃構馃構.

Her: It's okay then I'll try.

Me: Nita apriciate sana馃槏. Si tutabonga lunch time 馃槏馃槏.
Her: okay.

The whole class ilikuwa kimia hakuna anyeamini nilichokifanya馃榿. Kwanza Cute, waah ak si watu wana wivu馃馃. Alikuwa hamalizi kuniangalia, usoni alikuwa mwenye mshangao ajabu馃槻馃槻.

Nilitembea kiboss, ili kuwaonesha maboys wenzangu jinsi ya kucheza na maneno馃挭馃挭. I know Stacy alikuwa amewatisha ju ya upole wake na sura yake ya kazi馃挭馃挏. Kwanza nikapita kwa boy fulani hapo pia alionekana mfunny sana kulingana na watu馃挭. "Oyah bro umechachi..... Akanyamaza ghafla kuangalia nyumba kumbe alikuwa amemwogopa Stacy 馃枻馃挌.

Sema kuenda kukaa chini ndo nisome kale kibarua nilirushiwa na Hellen 馃槶馃槶馃槶. Kwanza karibu nifaint venye nilisoma tu sentence ya kwanza馃槶馃槶馃槶馃槶.

"Please bro,, usifanye kitu mbaya, huyo unaona amekaa hapo mbele ni madam wetu wa chem, ametumwa ajifanye mwanafunzi ndo aone tabia zako koz umetoka kwa shule yenye ilichomwa na wanafunzi so bado wanakushuku 馃槻馃槻,, nmeamua kuandika ndo nikusave manze, she's our deputy principal. Bye bye"

Whaaaat馃槶馃槶馃槶. Mara hiyo Stacy akaamka na kuenda staff room 馃槶. 2mins later akarudi馃槻

ng脿i 馃槶馃槶.

Her: Trevor. Follow me to staff room 馃槶馃槶.

Just introducing the new story guys.. if you are interested in following it. Please weka like yako ya kwanza manze馃槶馃槶馃槶.

Part two loading....

Install Palscity app

Android IOS