LOVE GAMES๐
Part 1
Monday morning, kwa saa yangu ya mkono inaniambia ni saa mbili asubuhi, nimesimama kwenye gate ya shule kumgoja mama ambaye nilikuwa nmemwacha nyuma kidogo๐, macho yangu hayaachi kutazama picha nzuri nzuri na zenye mvuto wa aina yake, zipo kwenye ukuta wa gateโฃ๏ธ. Moyoni mwangu nimeanza kuhisi nikama ndoto yangu ya kusomea kwenye shule ya majuu imeanza kutimia๐. Mbele yangu amesimama bawabu mlinda lango, mwenye macho mekundu kama damu, sura yake ilieleza mengi, haonekani mzee mwenye mzaha๐.
"Kijana samahani, weye ni msomi wa hapa?" Aliniuliza kwa sauti nzito ambayo ilinifanya nishikwe na wasiwasi ๐.
"La hasha mzee, nmekuja kuomba nafasi tu" nilijikakamua.
"Ahaa, karibu kwenye shule yenye masomo ya hali ya juu, hapa ndipo, umefika mwanangu, ila nilikuwa nishajuwa wewe si wa humu, maana hapa wanafunzi wana heshima," ๐ค
๐ค mmh heshima?, Ina maana mm sionekani mwenye heshima๐ค. Nilijiuliza kimoyomoyo. "Samahani mzee, una maana gani??".
Kwa kicheko cha kulazimisha, "ndio, wanafunzi wa hapa kamwe hawawezi simama karibu na mtu aliyewazidi kwa umri na wakose kumrushia salamu, hilo tu ndo lilikuwa dhibitisho tosha ๐".
"Ahaa naomba radhi jamani, shikamoo mzee wangu?" Nilisema kwa aibu, nisijue pa kuficha sura yangu๐๐.
"Marahaba kijana, unaonekana chiriku mwenye hana maneno mengi๐ค, mie naitwa mzee Kwatu, mm ndimi principal wa hapa๐๐๐ฒ naomba kukufamahisha kwamba umeshapita mtihani wa kwanza, una heshima nimeona".
Mwili wote ukaanza kunitetema, "Principal??" Niliuliza kwa mshangao๐๐.
"Ndio, mimi ndimi, kwa sasa naomba unifwate๐". Tulifululiza hadi ofisini, kumbe mama yuashafika, inaoenekana ilikuwa plan yao kunijaribu.
Hata hivyo, nilifanikiwa kupewa nafasi kwa hiyo shule maridadi๐.
Wiki la kwanza kwa shule mpya halikuwa rahisi. Haya yote yanatokea baada ya kutolewa kwa shule niliyojiunga nayo mwanzo kwenye kidato cha kwanza. Nilipofika kw cha pili,, kukatokea mkasa wa moto na hivyo kila kitu kilichokuweko bwenini hakikusaswa na moto๐๐. Shule ilipofungwa basi mamangu akaamua kunileta kwa hii shule niliyomo kwa sasa๐๐.
Siki yangu ya kwanza darasani๐. Kila niliyemwangalia alikuwa ameniangalia,, si wa kusmile si wa kunicheka kwa aibu yangu, si wa kunifinyia jicho. Lakn kuna mmoja wao ambaye hata hakuniongelesha, kuniangalia wala kunipa smile๐ค๐ค. Amerembeka ajabu, big and sexy eyes, akiamka nitawaambia body shape, lkn kwa sura lazma niseme, she has a baby face ๐.
Nilikuwa na haja sana ya kujuwa kwann anakaa tofauti na wengne๐ค๐ค.
Kama si lazma basi ni kawaida, huwa mgeni akija darasani, kila mtu hutaka kujuwa huyu mtu ni wa aina gani๐ค.
My curiosity didn't allowed me to remain seated, though nilikuwa bado mgeni,, sikujuwa ni nani wa kumchukuwa kama rafiki na ni nani wa kumbeba kama adui,, lakn possibility of me being her enemy was over a hundred percent ๐๐.
Kabla niamke ili nmsongee nikijifanya naomba notes. Kuna mmoja wao alikuja nilipokuwa nmekaa, sema wengne kumwangalia, mind ikanishow huenda amenipenda na ameshawaambia wengne kuhusu hilo, niliapa kutojiangusha.๐ช๐ช.
"Hi, sorry for interrupting your studies, am Hellen lakn wenzangu huniita Cute๐๐." She explained.
"Ohh nice to talk to you Cute. Am Trevor, (nikapelela mkono kumsalimia lakn daro yote ikaangua vicheko๐ฒ๐ฒ nikarudisha mkono wangu๐ญ๐ญ).
Cute: Sorry Trevor,, huku we don't shake hands, Corona manenos. Yan kwenu haikuwa imefika ama??
Nilijiona fala for first time,, hata maneno niliyokuwa nmepanga kumrushia yote yanihama๐๐. "Ooh it's okay, I now know ๐".
Hellen: So mm ndo class piri๐ฒ. Ningependa kujuwa majina yako yote tafadhali๐ค. Trevor nani??
Bado nilishangazwa na behaviors za huyo huyo mrembo mwengne๐ค. Hata watu walipocheka yeye hakushughulika kuniangalia๐ค. Am I ugly??
"Hey Trevor, nimetaka kujuwa majina yako kamili๐,"
After kumwambia alinirushia kakaratasi kwa locker yangu๐ฒ. Sikumind kukasoma hiyo tym, I knew that she was already in love with meโฃ๏ธ. Nilifeel ni kama nmeanza kuwakunywa mapema mapema๐ช๐ช. Boy child๐.
After tea break, niliamua nooh, lazma nijue kwa nini huyu dem hana shughuli mingi kama wenzake๐๐. Nilisanya ujasiri hadi ukafika kilo moja na nusu then nikasema baasi๐. Liwalo na liwe.
Kwa hii life kila msee ana crush ama amewahi kuwa naye. As for me, my heart had already falling for someone, none other than the different prettiest girl in class ,mwenye hakuwa na shughuli na mm๐ค.
Nilipoamka kumwendea kila mtu alinigeuka kwa mshangao ๐ฒ,, Cute kwanza ndo hakuamin๐, alijaribu kunifinyia jicho lakn nikaona ni wivu yake tu,,
"Hey, am Trevor,".
"Am Stacy," she said with lots of smiles on her face.
"WOW, beautiful name, just as your face."
"OMG please stop it, (blushing) am not that beautiful Trevor, I mean stop exaggerating ๐งก๐งก".
Hapo nikajuwa kitu imeanza kujipa๐.
"Amn't exaggerating Stacy, so am not supposed to praise your beauty โฃ๏ธ?"
"Who said that Trevor,, (still blushing) okay thanks basi,, now go๐. You are making me uncomfortable ๐". She said with an angelic voice... For sure kama mm ningekuwa nyoka basi sijui pangoni ningekuwa nafanya nini๐ ningekuwa nishatoka kitaambo๐.
"Please, can I have your number Stacy, here is mine," I gave her mah number and guess what ๐๐. She took it ๐.
"Yangu ndakukol uipate sawa" she said in a low voice.
"Promise you will call me today Stacy ๐๐".
Her: Today?? Trevor this is a boarding school, kwan una simu huku shuleni wewe?
Me: Chill manze, usichome. But iko kwa Dom kwa bag ๐๐.
Her: It's okay then I'll try.
Me: Nita apriciate sana๐. Si tutabonga lunch time ๐๐.
Her: okay.
The whole class ilikuwa kimia hakuna anyeamini nilichokifanya๐. Kwanza Cute, waah ak si watu wana wivu๐ค๐ค. Alikuwa hamalizi kuniangalia, usoni alikuwa mwenye mshangao ajabu๐ฒ๐ฒ.
Nilitembea kiboss, ili kuwaonesha maboys wenzangu jinsi ya kucheza na maneno๐ช๐ช. I know Stacy alikuwa amewatisha ju ya upole wake na sura yake ya kazi๐ช๐. Kwanza nikapita kwa boy fulani hapo pia alionekana mfunny sana kulingana na watu๐ช. "Oyah bro umechachi..... Akanyamaza ghafla kuangalia nyumba kumbe alikuwa amemwogopa Stacy ๐ค๐.
Sema kuenda kukaa chini ndo nisome kale kibarua nilirushiwa na Hellen ๐ญ๐ญ๐ญ. Kwanza karibu nifaint venye nilisoma tu sentence ya kwanza๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ.
"Please bro,, usifanye kitu mbaya, huyo unaona amekaa hapo mbele ni madam wetu wa chem, ametumwa ajifanye mwanafunzi ndo aone tabia zako koz umetoka kwa shule yenye ilichomwa na wanafunzi so bado wanakushuku ๐ฒ๐ฒ,, nmeamua kuandika ndo nikusave manze, she's our deputy principal. Bye bye"
Whaaaat๐ญ๐ญ๐ญ. Mara hiyo Stacy akaamka na kuenda staff room ๐ญ. 2mins later akarudi๐ฒ
ngร i ๐ญ๐ญ.
Her: Trevor. Follow me to staff room ๐ญ๐ญ.
Just introducing the new story guys.. if you are interested in following it. Please weka like yako ya kwanza manze๐ญ๐ญ๐ญ.
Part two loading....