Hellow wapendwa mimi niko na kipaji cha kuzaliwa mimi ni fundi wa simu, radio,tv na vitu zingine za electronic but sijapata mutu wakunipa suport, so naomba kama kuna mutu anauwezo basi ajitokeze kunipeleka couse ili niongezee idea nitashukuru sana na mwenyezi mungu atamubariki.
Evans Atambo
Ta bort kommentar
Är du säker på att du vill ta bort den här kommentaren?