KUMEKUCHA : Chanjo ya Corona Yamponza Gwajima Apingwa Kila Kona
ShangaziJul 26, 2021
Ikiwa imepita siku moja baada ya mbunge wa jimbo la kawe Askofu Josephat Gwajima kudai kuwa walioeta chanjo ya virusi vya corona wamelipwa na watu wa nje kuwaangamiza watanzania amepata upinzani mkubwa kutoka kwa baadhi ya viongozi nchini
Mbunge wa Bumbuli kupitia chama cha mapinduzi (CCM) amesema kuwa kitendo cha mbunge mwezake kupotosha umma juu ya serikali iliyoleta chanjo hiyo kuwa na lengo la kuwadhuru wananchi wake sio sahihi
“Kauli ya Askofu Gwajima kuhusu chanjo na dhamira ya Serikali kuleta chanjo nchini haikubaliki. Ni hatari kupotosha watu wanaotuamini kuhusu mambo ambayo hatuna utaalam nayo. Mjadala kuhusu usalama wa chanjo ni sahihi lakini kiapo kwamba Serikali imeileta kuwadhuru watu si sahihi” amesema Makamba.
Kwa upande mwingine Mwenyekiti Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Dkt.Fredrick Shoo amewaonya viongozi wa dini wanaopinga chanjo ya corona na kuacha kuhusisha chanjo hiyo na mpango wa shetani na kudai huko ni kumjaribu Mungu.
Naye aliyekuwa Waziri wa maliasili na utalii Hamis Kingwangala ambaye tayari ameshapata chanjp hiyo amesema.
“Askofu Gwajima afanye uungwana azitafute makala za kisayansi asome kwa kina juu ya chanjo; na kama ana mashaka na sayansi yake atafute wataalamu wampe shule ya chanjo. Hata mimi Mbunge mwenzake nimesoma soma kidogo, niko tayari kumfafanulia maeneo kadhaa na kumuondoa shaka” amesema Kingwangalla
Aidha umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) umelaami kitendo cha mbunge huyo kupinga na kuhamasisha watu kukataa chanjo hiyo.
Director Dofu

Samuel Kariuki
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟
Maxswel Okus
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟
Emily Michira
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟
Selma Asraka
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟
John Ngigi
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟
Kassim Ayomide
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟
SALUM KONDO
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟
Hassan Mungathia
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟
Ndubuaku Chinecherem
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟
Erick wabwile
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟
JOHN JAMES
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟
Gracious Jerry
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟
Ednah Kasabei
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟
Hasingizwimana Jean d Amour
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟
Yvonne Shiqo
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟
Samuel mwangi
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟
Samuel NYANDWI
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟
Erick wabwile
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟