3 سنوات - ترجم

1.Between bae na pesa gani imekuekeaa sociol distance?
Ama bora uhai😂😂😂
2.Signs and symptoms of an ending relationship *💔naona Kuna mchezo mahali😂😂🤣
3.Wakale wanadate wakale wenzao ndio wasiongee kiingereza🤥💔🤣😅😅😅😅
4.She's not yours until she starts sending you pics she doesn't post🥱
5.Huwa nanyorosha usingizi ni kama Niko na millions kwa bank💸😹😹
6.Mathematics is fake......how can 1000 people multiply by 0 *be zero* 🤔hao watu elfu moja wameenda wapi😑😂😂😂🤔
7.Sikumuacha kwa ubaya... lkn hata kama ni wewe *unaeza date dem mwenye anaendesha baiskeli akiwa amekalia kitu ya nyuma?*😏🤔😂😂😂😂💔
8.Unamuita *"my jaber"* alafu msee mwingine anakuja anamtafuna kama *jaba* na hastruggle kama wewe kumuomba😂😂😂😂💔
9.Siku watu wakiachwa wanaazanga kujifanya wanapendanga songs za juice world😂😂😂💔
10.Digital witchcraft is when you see your tenant who owes you rent, *walking out of a restaurant with your daughter🤭🤣😂😂🤦🏻‍♂️
11.Aki si kukuwa mtoto Ni gharama 😒unalia hata maybe tumbo inakuuma 😅unapewa uchi jack mzima umalize😅juu unalilia 🤣🤣🤣🤣🤣

Install Palscity app