3 рд╕рд╛рд▓ - рдЕрдиреБрд╡рд╛рдж рдХрд░рдирд╛

1.Between bae na pesa gani imekuekeaa sociol distance?
Ama bora uhaiЁЯШВЁЯШВЁЯШВ
2.Signs and symptoms of an ending relationship *ЁЯТФnaona Kuna mchezo mahaliЁЯШВЁЯШВЁЯдг
3.Wakale wanadate wakale wenzao ndio wasiongee kiingerezaЁЯдеЁЯТФЁЯдгЁЯШЕЁЯШЕЁЯШЕЁЯШЕ
4.She's not yours until she starts sending you pics she doesn't postЁЯе▒
5.Huwa nanyorosha usingizi ni kama Niko na millions kwa bankЁЯТ╕ЁЯШ╣ЁЯШ╣
6.Mathematics is fake......how can 1000 people multiply by 0 *be zero* ЁЯдФhao watu elfu moja wameenda wapiЁЯШСЁЯШВЁЯШВЁЯШВЁЯдФ
7.Sikumuacha kwa ubaya... lkn hata kama ni wewe *unaeza date dem mwenye anaendesha baiskeli akiwa amekalia kitu ya nyuma?*ЁЯШПЁЯдФЁЯШВЁЯШВЁЯШВЁЯШВЁЯТФ
8.Unamuita *"my jaber"* alafu msee mwingine anakuja anamtafuna kama *jaba* na hastruggle kama wewe kumuombaЁЯШВЁЯШВЁЯШВЁЯШВЁЯТФ
9.Siku watu wakiachwa wanaazanga kujifanya wanapendanga songs za juice worldЁЯШВЁЯШВЁЯШВЁЯТФ
10.Digital witchcraft is when you see your tenant who owes you rent, *walking out of a restaurant with your daughterЁЯднЁЯдгЁЯШВЁЯШВЁЯджЁЯП╗тАНтЩВя╕П
11.Aki si kukuwa mtoto Ni gharama ЁЯШТunalia hata maybe tumbo inakuuma ЁЯШЕunapewa uchi jack mzima umalizeЁЯШЕjuu unalilia ЁЯдгЁЯдгЁЯдгЁЯдгЁЯдг

Install Palscity app