Ndio ulizaliwa kwa private hospitalđĨna mimi nikazaliwa tu nyumbaniđĄna sisi wote TUKASURVIVEâ¤đđģ.
Wewe ukaenda private school na mimi nikaenda public school na sisi wote tutapatana College /University đđ§.
Wewe ukalala kwa King/Queen bedđđģna mimi ordinary bedđđģbut sisi wote tukalala na amani na tukaamka asubuhi salamađđģ.
Nguo zako zilikua za bei ghaliđđđĨž lakini zangu ni simpleđđđtu za kutoka Gikomba na Muthurwa lakini sisi wote bado tulicover uchi wetuâ¤đ.
Ulikua unaishi kwa chumbađĸ kubwa nzuri mimi nikaishi kwa maskani ya wastaniđĄlakini sisi wote tulikua na place inaitwa"NYUMBANI"đ
Wewe unaweza kua na gariđyako ya maana ya kutembea popote unataka lakini mimi natumia busđ na sisi wote tunafika mahali tunaenda salamađ.
Wazazi wako wanaweza kua matajiri lakini sisi wote tuko na watu tunawaita "wazazi" na ya maana ni ya kwamba wanatulea vizuriâ¤â.
Unaweza kua unasoma hii post na simu yako ya bei ghali na mwingine anasoma na ya bei ya chini lakini wote mumesoma na kuelewa pamojađđģ.
Najaribu kusema maisha haihusu chenye hauna lakini inahusu chenye uko nayo na vile unajiona mwenyewe...Furahia vile uko usijisumbue na chenye hauna wala kujidharau kwa kukosa chenye mwingine ako nayo,,,vumilia wakati wako utafikađđģđ.
Makundi Asinyimwe
āĻŽāύā§āϤāĻŦā§āϝ āĻŽā§āĻā§āύ
āĻāĻĒāύāĻŋ āĻāĻŋ āĻāĻ āĻŽāύā§āϤāĻŦā§āϝāĻāĻŋ āĻŽā§āĻā§ āĻĢā§āϞāĻžāϰ āĻŦāĻŋāώāϝāĻŧā§ āύāĻŋāĻļā§āĻāĻŋāϤ?
Robbes Null
āĻŽāύā§āϤāĻŦā§āϝ āĻŽā§āĻā§āύ
āĻāĻĒāύāĻŋ āĻāĻŋ āĻāĻ āĻŽāύā§āϤāĻŦā§āϝāĻāĻŋ āĻŽā§āĻā§ āĻĢā§āϞāĻžāϰ āĻŦāĻŋāώāϝāĻŧā§ āύāĻŋāĻļā§āĻāĻŋāϤ?