Ndio ulizaliwa kwa private hospital๐ฅna mimi nikazaliwa tu nyumbani๐กna sisi wote TUKASURVIVEโค๐๐ป.
Wewe ukaenda private school na mimi nikaenda public school na sisi wote tutapatana College /University ๐๐ง.
Wewe ukalala kwa King/Queen bed๐๐ปna mimi ordinary bed๐๐ปbut sisi wote tukalala na amani na tukaamka asubuhi salama๐๐ป.
Nguo zako zilikua za bei ghali๐๐๐ฅพ lakini zangu ni simple๐๐๐tu za kutoka Gikomba na Muthurwa lakini sisi wote bado tulicover uchi wetuโค๐.
Ulikua unaishi kwa chumba๐ข kubwa nzuri mimi nikaishi kwa maskani ya wastani๐กlakini sisi wote tulikua na place inaitwa"NYUMBANI"๐
Wewe unaweza kua na gari๐yako ya maana ya kutembea popote unataka lakini mimi natumia bus๐ na sisi wote tunafika mahali tunaenda salama๐.
Wazazi wako wanaweza kua matajiri lakini sisi wote tuko na watu tunawaita "wazazi" na ya maana ni ya kwamba wanatulea vizuriโคโ.
Unaweza kua unasoma hii post na simu yako ya bei ghali na mwingine anasoma na ya bei ya chini lakini wote mumesoma na kuelewa pamoja๐๐ป.
Najaribu kusema maisha haihusu chenye hauna lakini inahusu chenye uko nayo na vile unajiona mwenyewe...Furahia vile uko usijisumbue na chenye hauna wala kujidharau kwa kukosa chenye mwingine ako nayo,,,vumilia wakati wako utafika๐๐ป๐.
Makundi Asinyimwe
๋๊ธ ์ญ์
์ด ๋๊ธ์ ์ญ์ ํ์๊ฒ ์ต๋๊น?
Robbes Null
๋๊ธ ์ญ์
์ด ๋๊ธ์ ์ญ์ ํ์๊ฒ ์ต๋๊น?