3 Ă„r - ÖversĂ€tt

Ndio ulizaliwa kwa private hospitalđŸ„na mimi nikazaliwa tu nyumbani🏡na sisi wote TUKASURVIVEâ€đŸ™đŸ».

Wewe ukaenda private school na mimi nikaenda public school na sisi wote tutapatana College /University 😉🧐.

Wewe ukalala kwa King/Queen bedđŸ›ŒđŸ»na mimi ordinary bedđŸ›ŒđŸ»but sisi wote tukalala na amani na tukaamka asubuhi salamađŸ™đŸ».

Nguo zako zilikua za bei ghaliđŸ‘–đŸ‘”đŸ„Ÿ lakini zangu ni simple👟👕👕tu za kutoka Gikomba na Muthurwa lakini sisi wote bado tulicover uchi wetuâ€đŸ˜.

Ulikua unaishi kwa chumba🏱 kubwa nzuri mimi nikaishi kwa maskani ya wastani🏡lakini sisi wote tulikua na place inaitwa"NYUMBANI"😀

Wewe unaweza kua na gari🚗yako ya maana ya kutembea popote unataka lakini mimi natumia bus🚌 na sisi wote tunafika mahali tunaenda salama😊.

Wazazi wako wanaweza kua matajiri lakini sisi wote tuko na watu tunawaita "wazazi" na ya maana ni ya kwamba wanatulea vizuri❀✊.

Unaweza kua unasoma hii post na simu yako ya bei ghali na mwingine anasoma na ya bei ya chini lakini wote mumesoma na kuelewa pamojađŸ™đŸ».

Najaribu kusema maisha haihusu chenye hauna lakini inahusu chenye uko nayo na vile unajiona mwenyewe...Furahia vile uko usijisumbue na chenye hauna wala kujidharau kwa kukosa chenye mwingine ako nayo,,,vumilia wakati wako utafikađŸ™đŸ»đŸ’•.

Install Palscity app

Android IOS