@Juma12
USICHOKE:
< kunipenda
< kuniombea
< Kunisamehe
< kunijali
< kunithamini
< kunitakia mema
< kunikumbuka
< kunifariji
< kunishauri
< kunikosoa
< kunivumilia
wakati tupo duniani.
Kwani umri ni daraja, hatukai tunavuka?!
> Maisha ni kamba, iko siku itakatika.
> Limfikalo mja, Mola kaliandika.
> Alipangalo Mungu ni vema tukaridhika.
> Tuvumiliane kwa yote, hakuna aliyekamilika
#stervon
James Githaiga
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟
Winnie Aloo
حذف نظر
آیا مطمئن هستید که می خواهید این نظر را حذف کنید؟